Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kwa wiki mbili watu 1,500 wa-pre order albamu ya Vanessa ‘Money Mondays’

1360 26151801 781994578654589 8923693378130935808 N 1

Mon, 15 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Msanii wa muziki Bongo, Vanessa Mdee amefunguka alipofikia kimauzo albamu yake mpya ‘Money Mondays’.

Albamu hiyo ambayo ilitoka December 20 mwaka jana na kuanza kuuzwa kwa mfumo wa Pre order wiki (Alhamisi) hii inatarajiwa kuwa mtaani katika mfumo wa CD na platform zote na kimtandao.

Vanessa amesema katika siku kwanza watu wapatao 24 waliweza kumuelewa na kui-pre order na kadiri alivyozidi kuipigia chapuo katika mitandao ya kijamii ndivyo watu walizidi kumuelewa kitu kilichopelekea wiki ya pili kuwa na watu 400 na wiki ya pili watu 1,500.

Chanzo: bongo5.com