Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kwa jeans hii akina dada mtavaa?

Wed, 7 Feb 2018 Chanzo: bongo5.com

Dunia ina mambo na mambo yana watu, hasa katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia ambapo kuna vijimambo. Dada mmoja amenyesha kuwa yupo tayari kwenda na mitindo yoyote kwa kutinga kivazi cha suruali kilizo wazi sehemu kubwa na kutemba nayo mtaani.

Swali ni je! wewe mdada upo tayari kuiva nguo hii bila wasi na kupita nayo mtaani?

Chanzo: bongo5.com