Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kuweni makini na ugomvi wa "Maproducers"

Dulla Makabilaaaaaaa Kuweni makini na ugomvi wa "Maproducers"

Thu, 9 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Singeli Dulla Makabila, amezungumza na wanaoingilia majibizano yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii yanayowahusu watayarishaji wa muziki Tanzania, amewataka kuwa makini sana kwa sababu Producers wa Tanzania wanapendana na kushirikiana kwa vitu vingi.

Msanii wa Singeli Dulla Makabila, amezungumza na wanaoingilia majibizano yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii yanayowahusu watayarishaji wa muziki Tanzania, amewataka kuwa makini sana kwa sababu Producers wa Tanzania wanapendana na kushirikiana kwa vitu vingi. Kupitia insta story yake @dullamakabila ameufananisha muungano wa madereva wa bodaboda Tanzania ni sawa watayarishaji wa muziki wa Tanzania.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live