Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Kuwa na watoto ni kuokoa dunia

Album Grimes Elon Musks Kuwa na watoto ni kuokoa dunia

Tue, 26 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bilionea namba moja Duniani, Elon Musk kwa siku za hivi karibuni ameonekana kuwa karibu zaidi na mtoto wake mdogo anayefahamika kama X.

Na moja kati ya ''post'' yake ambayo iko ''pinned'' kwenye mtandao wa ''X'' amesisitiza namna ambavyo kuwa na watoto kunaweza kuokoa Dunia.

Kwenye hili kipo ambacho sisi kama #SUPATECH tunaweza kutazamia na haya ni mawazo yetu tu, sisi kama #SUPATECH na wewe unaweza kuwa na mtazamo tofauti.

1. Elon Musk anajaribu kuiyonyesha Dunia ya kwamba malezi ya mtoto, yanaweza yakahamia kuwa sehemu ya Baba na Mama akaendelea na kazi nyingine.

2. Elon Musk anampango wa kuja na ''project'' ambayo italinda kizazi kijacho kwani moja kati ya shtuma kubwa anayokumbana nayo, ni suala zima la Akili bandia ''Artificial intelligence'' na namna itakavyokuja kuleta athari kwenye vizazi vijavyo, kwani yeye ni sehemu ya ''project'' ta ''OPEN.AI''

3. Elon Musk anapanga kuja na mpango wa kuongeza idadi ya watu duniani ikiwa kama sehemu ya kujisafisha kwenye tuhuma za kuja na maroboti yenye jinsia ya kike. (Inasemwa)

4. Ni sehemu ya Project ya nchini ''Hungary'' ambayo anashirikiana na Rais wa nchi hiyo, ambayo lengo ni kuongeza idadi ya watu kwani tafiti za mwisho zinaonesha nchi hiyo inaidadi ya watu milioni 9.6 (2023) ikiwa na upungufu kwa maana ya watu, karibu ya milioni moja (chanzo: CGTN).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live