Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kutana na msanii ambaye alisimamisha shule kisa Mr Blue (Video)

Sun, 7 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Msanii mchanga ambaye ni shabiki kindaki ndaki wa rapa Mr Blue, Uncle B amefunguka kuzungumzia namna alivyosimamishwa shule kutokana na kuonyesha wazi kwamba anampenda rapa, Mr Blue. Rapa huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo, ‘Sitaki Unitag’ambao amemshirikisha Mr Blue na Dullayo, amesema kupata nafasi ya kufanya kolabo na rapa huyo ni kitu kikubwa sana kwenye maisha yake.

Chanzo: bongo5.com