Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Kutana na Mwanaume wa miaka 48 anaetesa na mpenzi wake wa miaka 103

Wakili Na Kibibi Kutana na Mwanaume wa miaka 48 anaetesa na mpenzi wake wa miaka 103

Mon, 5 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakili mwenye umri wa miaka 48 anadai kuwa anampenda kupita maelezo mpenzi wake mwenye umri wa miaka 103, licha ya maneno mengi yanayosemwa kila kona juu yao.

Mart Soeson, kutoka Estonia, amekuwa kwenye uhusiano na Bibi huyo aitwae Elfriede Riit tangu mwaka 2013.

Bi Riit ambaye pia ni mzaliwa Estonia, atasherehekea siku yake ya kuzaliwa ya mwaka wa 104 baadaye mwezi huu wa Februari.

Wapenzi hao wanasisitiza kuwa kupishana kwao umri kwa miaka 55 hakumaanishi chochote kwao na ni bora watu wakawaacha waendelee kuenjoy na mapenzi yao badala ya kuendelea kuwasema kila kukicha.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live