Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kusah aikubali shepu ya Aunty

IMG 20220822 WA0117 Kusah aikubali shepu ya Aunty

Mon, 22 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kusah; ni msanii mwingine mkali wa Bongo Fleva na ni mzazi mwenza wa muigizaji Aunt Ezekiel ambaye anasema kuwa, anaikubali shepu ya mpenzi wake huyo ambayo inadaiwa ni ya mchongo.

Kusah anakiri kwamba, ni kweli Aunty amefanya upasuaji (sajari) ili kutengeneza shepu matata ya mwili ambayo anayo kwa sasa.

Jamaa huyo anasema kuwa, alimchangia Aunty kiasi cha shilingi milioni 90 ambapo gharama za jumla ni shilingi milioni 200.

Kusah anasema hajali maneno ya watu wanaosema anaishije na mwanamke ambaye shepu yake ni ya kutengeneza.

Kwa wanaomjua Aunty wanasema kuwa, hakuwa na shepu ambayo anayo kwa sasa maana hivi sasa ana muonekano mzuri kuliko mwanzo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live