Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kuna wakati unatakiwa ushindwe ili ushinde – Ruby

1633 26228556 193352014737037 8532529081323880448 N TZW

Sat, 20 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Msanii wa muziki Bongo, Ruby ameamua kuwatia moyo watu ambao wamekata tamaa na vitu wanavyovifanya.

Mrembo huyo mwenye sauti adimu ametoa rahi hiyo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram kwa kuwaandikia ujumbe usomekao ‘Sometimes you gottaloose to win again #jesusdidit #TZBIRD

Chanzo: bongo5.com