Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kuna mtu anayempa jeuri Zari-Juma Lokole

JUMA NA ZARI Kuna mtu anayempa jeuri Zari-Juma Lokole

Tue, 11 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtangazaji wa kipindi cha umbea, Juma Lokole ameeleza kwamba anajua vizuri mrembo Zari The Boss Lady anachiti na nani na kuwa yule kijana aliyenaye ni kama pambo tu sababu hana pesa.

Mtangazaji wa kipindi cha umbea, Juma Lokole ameeleza kwamba anajua vizuri mrembo Zari The Boss Lady anachiti na nani na kuwa yule kijana aliyenaye ni kama pambo tu sababu hana pesa. Lokole amesema hayo kwenye kipindi cha Mashamsham kinachoruka Live kutoka studio za Wasafi FM baada ya Zari kuchafua hali ya hewa kwa post yake akiwashauri mabinti kuwa wakitaka kuchiti basi wachiti na wanaume wenye pesa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live