Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kumekucha! Basata wamuita Dulla Makabila

Dulla Makabilaaaa Kumekucha! Basata wamuita Dulla Makabila

Wed, 21 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Singeli, Dulla Makabile, amesema amepokea wito kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) hivyo anakwenda kuwasikiliza.

Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa Dulla Makabila ameandika.

"Nimepokea Barua ya wito kutoka @basata.tanzania ambayo inahusu wimbo wangu mpya wa ‘Pita Huku’ Wito nimeupokea na nitafika @basata.tanzania leo hii Nyie ni Walezi wangu katika shughuli zangu za Sanaa…. Naimani Utakua wito wa Kheri…

"Mashabiki zangu Asanteni Kwa kuufanya wimbo wetu wa Pita huku kuwa Trending Number Moja huko Mjini Youtube.. tuendelee kufuatilia kazi nzuri."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live