Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kumbe wimbo wa Johnny wa Yemi Alade ulitoka kimakosa

Yemi Alade Empress US Tour Details Instagram NotjustOK.jpeg Kumbe wimbo wa Johnny wa Yemi Alade ulitoka kimakosa

Thu, 18 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria, Yemi Alade amefichua wimbo wake uitwao ‘Johnny’, ulitoka kimakosa, kwani haukupangwa kutoka kwa wakati huo.

Yemi wakati akifanya mahojiano na 'Podikasti' ya TeaWithTay ameeleza kuwa wimbo huo hakutaka utoke kipindi hicho bali ulivuja kupitia mitandao ya kijamii ndipo akaamua kuuachi.

Video ya wimbo wa Johnny iliachiwa miaka tisa iliyopita na hadi sasa tayari umefikisha watazamaji zaidi ya milioni 160 kwenye mtandao wa YouTube. Yemi anatamba na ngoma nyingine kama vile Mama Afrika, Oh my gosh,Lipeka na shekere.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live