Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kumbe Tiwa amemburuza Davido polisi

Davido Atetewa Video Aliyowachefua Waislamu Kumbe Tiwa amemburuza Davido polisi

Tue, 9 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hatimaye wapenzi wa muziki wamepata majibu ya kilichokuwa kikiendelea kati ya wanamuziki kutoka nchini Nigeria Tiwa Savage na Davido baada ya wawili hawa kufuta urafiki kwenye mitandao yao ya kijamii.

Hatimaye wapenzi wa muziki wamepata majibu ya kilichokuwa kikiendelea kati ya wanamuziki kutoka nchini Nigeria Tiwa Savage na Davido baada ya wawili hawa kufuta urafiki kwenye mitandao yao ya kijamii. Tiwa Savage amepeleka mashitaka polisi akidai kuwa amepokea vitisho kutoka kwa Davido vya kufanyiwa ukatili wa kimwili, Tiwa ametaka mamlaka hiyo kuingilia kati haraka suala hilo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live