Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kufuru, Diamond Amnunulia Zawadi ya Mil 110 Mama Yake, Ni Ipi Hiyo?

Mama Dangote Diamond Amnunulia Zawadi ya Mil 110 Mama Yake

Mon, 3 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

SUPASTAA wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amemmnunulia bonge la zawadi mama yake mzazi, Bi Sanura Kassim aka Sandra ama Mama Dangote kwa ajili ya kuufungua mwaka mpya 2022.

Kupitia insta story ya Mama Dangote, ameandika maneno ya kumshukuru mtoto wake kwa kumzawadia zawadi ya cheni yenye thamani ya zaidi ya Dola za Kimarekani 48,000, sawa na Tsh milioni 110.688.

“Kuzaa kuzuri, Asante baba wangu Naseeb Kichwa @diamondplatnumz 48,000$” anaandika @mama_dangote.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live