Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kufuru! Buti alilovaa Diamond lina thamani ya Tsh milioni 3

Diamond Mzd Diamond Platnumz

Tue, 21 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Supastaa wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, thamani ya Kiatu alichokivaa akiwa Paris Ufaransa " Adidas Yeezy Nsltd Boot" kinauzwa Dola 1327- 1500 zaidi ya Tsh milioni 3.

Kiatu hicho ni toleo la Mwaka 2021,Ambapo mastaa mbalimbali Ulimwenguni wameonekana kukivaa kama Justin Bieber, Offset na wengine wengi.

Je, Kiatu cha gharama ulichowahi kukivaa kinauzwa bei gani?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live