Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kontawa: Sijawahi kuachia ngoma mbovu

Kontawa Nataka Demu.jpeg Kontawa.

Thu, 29 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Bongo Fleva, Abdu Hamid Said maarufu kama Kontawa amedai kwamba tangu aanze kuachia nyimbo zake hajawahi kutoa kazi isiyo bora wala kufanana na msanii mwingine. Kupitia Planet Bongo ya East Africa Radio, Kontawa amesema;

Msanii wa Bongo Fleva, Abdu Hamid Said maarufu kama Kontawa amedai kwamba tangu aanze kuachia nyimbo zake hajawahi kutoa kazi isiyo bora wala kufanana na msanii mwingine. Kupitia Planet Bongo ya East Africa Radio, Kontawa amesema; "Mimi tangu naanza kuachia nyimbo zangu sijawahi kufanana na msanii mwingine yoyote, ngoma zangu kama Champion, Dunga Mawe, Nachekaga Tu, nimefanya hadi singeli na ngoma zingine, zote ziko tofauti na wasanii wengine," amesema Kontawa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live