Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kontawa: Nimepigiwa simu nyingi

Harmonize Wf Kontawa na Harmonize

Tue, 15 Nov 2022 Chanzo: Mwanaspoti

Kupitia 255 ya XXL ndani ya #Cloudsfm muimbaji kwenye game ya Bongo Flava, Kontawaa ameweka wazi kuanza kupokea simu za endorsements baada tu ya kufanya remix ya #champion na mwanamuziki Harmonize.

Kontawa amedai Harmonize ni msanii mkubwa na ukiacha kuwa Champion ilishakuwa ngoma kubwa tayari lakini anaamini Harmonize ameiongezea ukubwa zaidi ngoma hiyo ambayo Og yake zilitumika dakika 30 pekee kukamilika.

Matter of fact ni kuwa uwenda watu wengi hasa mashabiki wa WCB hawajapendezwa na Verse ya Harmonize, lakini imefanya watu kuufwatilia zaidi wimbo huo ambao kibiashara ni Bingo kwa Kontawa, na hicho ndicho kinacho fanya impact ya wimbo kuwa kubwa.

Chanzo: Mwanaspoti