Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kolabo ya TID na Q Chief yaiva

Q  CHIEF Kolabo ya TID na Q Chief yaiva

Wed, 20 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Malegend wa muziki wa BongoFleva Tid na Q Chief wametangaza ujio wao mpya kwa mara ya kwanza tangu wamalize tofauti zao.

Malegend wa muziki wa BongoFleva Tid na Q Chief wametangaza ujio wao mpya kwa mara ya kwanza tangu wamalize tofauti zao. Kupitia ukurasa wa Instagram Tid amethibitisha ujio wa kolabo yao siku chache zijazo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live