Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kolabo ya Drake na Nicki Minaji yanukia

NICK NA DRAKE Kolabo ya Drake na Nicki Minaji yanukia

Wed, 12 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa Muziki kutoka Canada Drake amethibitisha kuwepo kwa kolabo kati yake na Rapa Nicki Minaj.

Kolabo hiyo ilithibitishwa na Drake kwenye Muendelezo wa ziara yake na 21Savage inayoendelea akisema kuwa yeye na #Nicki wana ngoma ya pamoja wamefanya kwa mara ya kwanza ndani ya muda mrefu.

Mbali na hivyo #Nicki kwa kutilia mkazo alithibitisha kuwepo kwa kolabo hiyo baada ya kupost picha ya zamani akiwa na #Drake na kuisindikiza na neno #Dricki akimaanisha muunganisho wa majina yao mawili.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live