Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kofi la Will Smith lilinusuru ndoa yangu

 Timu Ya Kushughulikia Migogoro Yaundwa Baada Ya Kibao Cha Will Smith Kofi la Smith lilinusuru ndoa yangu

Mon, 11 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

March 27 mwaka 2022 msanii na muigizaji Will Smith alifanya kitendo cha kustaajabisha kwenye usiku wa tuzo za #Oscar huko nchini Marekani.

March 27 mwaka 2022 msanii na muigizaji Will Smith alifanya kitendo cha kustaajabisha kwenye usiku wa tuzo za #Oscar huko nchini Marekani. Will Smith alimpiga kofi mchekeshaji Chris Rock baada ya mchekeshaji huyo kufanya utani juu ya muonekano wa nywele za Jada Pinkett mke wa Will Smith, akizungumza katika mahojiano na You Magazine Jada amesema, lile Kofi alilopigwa Chris Rock lilinusuru ndoa yake hivyo amelipa jina la “Kofi Takatifu” kwa sababu mambo mengi yalikaa sawa kwenye ndoa yake na Will Smith baada ya tukio lile.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live