Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kodak aungana na Trump kumkandia Rihanna (+Video)

Attachment Trump Kodak Black Rihanna Kodak aungana na Trump kumkandia Rihanna

Tue, 14 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kodak Black aungana na Donald Trump kuliponda onesho la Rihanna kwenye Halftime ya SuperBowl alfajiri ya leo. Kodak ambaye alihudhuria uwanjani kabisa, ameonekana akisema show hiyo ilikuwa mbaya!

Kama umepata nafasi ya kuzitazama dakika 13 za Riri leo, una mtazamo gani

View this post on Instagram

A post shared by Dozen’s Selection (@dozenselection)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live