Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kodak Black atamani kurudisha fadhila kwa Trump

Attachment Kodak Black Donald Trump Kodak Black atamani kurudisha fadhila kwa Trump

Thu, 26 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

‘Rapa’ kutoka nchini Marekani, Kodak Black anatamani kulipa fadhila kwa #DonaldTrump kwa kumpa Tsh bilioni 2.5 baada ya kumpatia msamaha wakutoka gerezani kabla ya Trump kuachia madaraka nchini humo.

Msamaha huo ulitoka mwaka 2021 baada msanii huyo kuahidi kuwa atatoa msaada wa dola milioni 1 sawa na Tsh bilioni 1 kwa watu wasiojiweza.

Kodak ameeleza hayo katika mahojiano na #Drink Champs akidai kuwa angempatia Trump kiasi Cha $1M sawa na Tsh bilioni 2.5 kama angehitaji.

‘Rapa’ huyo alikuwa akitumikia kifungo chake cha miezi 46 jela kwa kosa la kugushi nyaraka za serikali na kujipatia silaha mwaka 2020.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live