Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kizz Daniel awatolea uvivu wanaomsema mkewe

Kizz Daniel Re Kizz Daniel

Wed, 20 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria, Kizz Daniel ameamua kuwatolea uvivu wanaosema mkewe mbaya.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram upande wa ‘komenti’ Kizz amekuwa akiwajibu mashabiki hao wanaojadili muonekano wa mkewe Oliwatobiloba Daniel.

Maneno hayo yamekuja baada ya KizzDaniel kumposti mkewe kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii na kutangaza kuwa ameoa miaka minne aliyopita na hivyo hawezi kumuacha.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live