Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kizz Daniel ajinunulia Rolls Royce

Kizz Daniel Ajinunulia Rolls Royce.jpeg Kizz Daniel ajinunulia Rolls Royce

Sat, 2 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria, Kizz Daniel amejipongeza kwa kujinunulia gari aina ya ‘Rolls Royce Cullinan’ akisheherekea kutimiza miaka 10 katika muziki.

Msanii huyo ameyathibitisha hayo kupitia instastory yake baada ya ku-share video za gari hilo.

KizzDaniel anatamba na ngoma zake mbalimbali ikiwemo ‘Buga’, ‘Cough’, ‘Shu-Peru’, na nyinginezo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live