Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kiungo Real Madrid apagawishwa na ngoma ya Harmonize

Toucheman X Harmonize Kiungo Real Madrid apagawishwa na ngoma ya Harmonize

Thu, 30 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa Real Madrid na timu wa taifa ya Ufaransa Aurelin Djan Tchouamen @aurelientchm ameutaja wimbo wa @harmonize_tz Single again mmoja ya wimbo mkali wa Afrobeat.

Tchouamen ni moja ya wachezaji vijana bora sana duniani kwa sasa akiwa na miaka 23 tu.

Tangu 2022 june 11 alikula kandarasi ya miaka 6 ya kuichezea Real Madrid

Chanzo: www.tanzaniaweb.live