Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kitu ambacho Hamisa Mobetto hataki kijirudie 2018

737 Screen Shot 2017 12 28 At 2.30.43 PM 593x400.png TZW

Thu, 28 Dec 2017 Chanzo: millardayo.com

Mwanamitindo Hamisa Mobetto ambaye pia ni mzazi mwenzake Diamond Platnumz inawezekana akawa mmoja wa watu waliochukua headlines sana kwa mwaka 2017 kutokana na kuzaa na staa wa muziki Diamond platnumz huku awali ujauzito wake akiwa kauweka siri lakini pia kutokana na kutupiana vijembe na Zari kupitia mitandao ya kijamii.

Mwanamitindo Hamisa Mobetto ambaye pia ni mzazi mwenzake Diamond Platnumz inawezekana akawa mmoja wa watu waliochukua headlines sana kwa mwaka 2017 kutokana na kuzaa na staa wa muziki Diamond platnumz huku awali ujauzito wake akiwa kauweka siri lakini pia kutokana na kutupiana vijembe na Zari kupitia mitandao ya kijamii. Kupitia Instagram account ya Hamisa Mobetto amepost vitu ambavyo vilimfurahisha kwa mwaka 2017 ikiwemo kupost picha ya mtoto wake wa kiume “Dylan” aliyezaa na Diamond Platnumz na kuandika caption ianyosema “My beautiful 2017 …

Chanzo: millardayo.com