Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kitu ambacho Country Boy anataka kiboreshwe katika Bongo Flava

1736 26156548 353308848469716 2558476533207400448 N TZW

Mon, 22 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Mwanamuziki Country amesema muziki wa Bongo Flava umeshafika mbali ila kinachohitajika sasa ni maboresho katika upande wa sauti.



Rapper huyo ameiambia Dj Show ya Radio One baada ya maboresho ya sauti ni upande wa performance na habari itakuwa imeisha.

“Nadhani katika suala la production cha muhimu ni quality ya sound ya muziki ambayo inatoka, sound ni kitu kikubwa kama ina quality inaweza kupenya dunia,” amesema.

“Tanzania sasa hivi tumeendelea watu wana productin nzuri, producer wanafanya kazi nzuri sana, watu wanawekeza sana kwenye muziki kilichobaki sasa hivi ni kwenye perfortme na kazi nyingi,” ameongeza.

Chanzo: bongo5.com