Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kitu alichokuwa anafikiria Chege kuhusu Engine wa Wolper

2037 Screen Shot 2018 01 26 At 7.21.14 PM 660x400.png TZW

Sun, 28 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Msanii mkongwe katika Bongo Fleva Chege Chigunda ameonekana kukubali kazi za msanii mwenzake Engine ambaye inasemekana ni mpenzi wake Jacquline Wolper na ameonyesha kukubali uwezo wa Engine kupitia ukurasa wake wa Instagram na kujiuliza kwanini watu wengine hawaoni kipaji cha Engine.

“Mwanzoni naamini wengi na mimi nikiwemo tulimchukulia poa sana na kumuona ni miongoni mwa wale wale watafuta kiki kama tulivyo zowea, nilijiuliza sana kwanini anamuweka @wolperstylish mbele sana kuliko kuuweka muziki wake mbele???”-Chegge

“Lkn wakati anautambulisha wimbo wake ilinibidi kuuskiliza sana na kuflash mawazo yote ya kwamba atakua anatafuta Kiki, pili nikagundua @wolperstylish alimskiliza kwa makini sana na naamini aligundua @engine255 ana kitu Kikubwa sana ? ,”-Chegge



“Naamini kama kweli atakua serious mpaka mwaka huu unaisha tutakua tunaongea mambo mengine kabisa,”– Chegge



Huyu Jamaa kwanza anaandika sana, pili ana zile melody za bongofleva yenyewe?! nadhani gharama yake ni ndogo sana ni kumpa SIKIO tu, sijui ni Jamaa wa wapi lakini nimetokea kuelewa sana sana anachofanya,”-Chegge

“Nimepita YouTube kufatilia kazi zake, nikabaki nashangaa tu kwa nini bado yupo chini mpk sasa, amaa kweli mziki bado mkubwa na vipaji bado vipo haswa

@engine255

Chanzo: millardayo.com