Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kitu H Baba atafanya kama Diamond atamuoa Zari

739 Screen Shot 2017 12 28 At 3.21.41 PM 594x400.png TZW

Thu, 28 Dec 2017 Chanzo: millardayo.com

 

Msanii mkongwe kwenye tasnia ya muziki Hbaba ameonyesha kukubali couple ya Diamond Platnumz na Zari na kutoa zawadi nono ya ng’ombe watano kwa wawili hao endapo watafunga ndoa.

Kupitia instagram page yake amepost picha ya Diamond pamoja na Zari na kumwaga sifa na kuandika kile ambacho anajisikia kutoka moyoni kuhusu wawili hao.

“Mmetokelezeiyaa kinyama #Mmependezana #Mnaendana Allah Awasimamie #Ndoa Ifungwe Awe wako kwenye hesabu ya MWENYEZI MUNGU #Ntatoa #Ng‘ombe (watano 5) wakubwa kabisa wakisukuma #waletwe #DAR #Huondio Uwezo wangu nahicho ndicho nitajaaliwa na MWENYEZI MUNGU #Nakutakia Maandalizi Mema ya NDOA Yako #Hongereni kwakupendana

Chanzo: millardayo.com