Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Kitambulisho cha Tupac jela chauzwa Milioni 187

IMG 6159.jpeg Kitambulisho cha Tupac Shakur chauzwa kwa bei kubwa

Tue, 31 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ umeripoti taarifa ya kuuzwa kwa kitambulisho cha garezani cha marehemu Tupac Shakur pamoja na picha zake zilizokuwa zimehifadhiwa kwenye kitabu wakati akiwa gerezani.

Kitambulisho chake hicho cha gerezani na picha zake zimepatikana wakati akiwa gereza la Clinton Correctional Facility jijini New York mwaka 1995 na vitapigwa bei ya USD 75,000 sawa na Tsh Milioni 187.

Kibongobongo pia wapo mastaa ambao washawahi kukaa gerezani kama TID, Babalevo, Kajala, Elizabeth Michael 'Lulu' na Jacqline Cliff.

Yupi ambaye unaweza kununua picha yake akiwa gerezani. Mtaje!

Chanzo: www.tanzaniaweb.live