Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kisa Yanga, Harmonize agoma kutaja majina ya ngoma zake

Harmommmmmm Tz Harmonize

Mon, 17 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa Muziki nchini Tanzania,amegomea kutoa orodha ya ngoma zilizopo kwenye albamu yake mpya aliyoahidi kuiachia mwezi huu, kisa Yanga imepoteza mchezo wake usiku wa jana nchini Sudan dhidi ya Al Hilal.

Staa wa Muziki nchini Tanzania,amegomea kutoa orodha ya ngoma zilizopo kwenye albamu yake mpya aliyoahidi kuiachia mwezi huu, kisa Yanga imepoteza mchezo wake usiku wa jana nchini Sudan dhidi ya Al Hilal. Yanga ilipokea kichapo cha goli 1-0 kutoka kwa Al Hilal na kutupwa nje michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live