Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Kisa Talaka, Angelina Jolie autema Uigizaji

Angelina Jolie X Brad Pitt Brad Pitt na Angelina Jolie

Wed, 6 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muigizaji kutoka nchini Marekani, Angelina Jolie ameeleza kuacha kuigiza kwa sababu ya mzozo wa talaka kati yake na aliyekuwa mumewe Brad Pitt.

Mwigizaji huyu mwenye umri wa miaka 48, ameeleza kuwa ataacha kufanya maigizo na kuhama Los Angles hadi pale vita yake ya kudai talaka itakapopata suluhu.

Wawili hao walichumbia mwaka 2005 na kuoana mwaka 2014, lakini walitengana miaka miwili baadaye.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live