Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kina H Baba ni mazuzu, wanafki tu-Lukamba

H Baba Na Lukamba Kina H Baba ni mazuzu, wanafki tu-Lukamba

Mon, 26 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa mpiga picha wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Lukamba amewachana vibaya baadhi ya watu waliokuwa wanamdisi Diamond na kisha baadaye akawachukua na kuwaajiri.

Licha ya kuwa hakuwataja kwa majina lakini inafahamika, H Baba alikuwa miongoni mwa watu ambao walikuwa wakimsema vibaya Diamond lakini sasa hivi amebadilika na kuanza kumsifia.

“Wale ni mazuzu, Diamond mjanja sana alichokifanya ni kucheza smart. Kajua kabisa kinachowasumbua ni njaa ndio maana walikuwa wanamdisi, akawambia sikilizeni nyie, njooni make hapa niwape kazi,” alisema H Baba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live