Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kimeumana! Rayvanny, Harmonize kuachia ngoma siku moja

Kimeumana! Rayvanny, Harmonize Kuachia Ngoma Siku Moja Kimeumana! Rayvanny, Harmonize kuachia ngoma siku moja

Wed, 15 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa Muziki wa Bongo Fleva, Rayvanny ametangaza kuachia Project yake mpya Five For You ambapo ataachia ngoma 5 ndani ya siku moja ya Novemba 24,2023.

Staa wa Muziki wa Bongo Fleva, Rayvanny ametangaza kuachia Project yake mpya Five For You ambapo ataachia ngoma 5 ndani ya siku moja ya Novemba 24,2023. Tarehe hiyohiyo, Staa wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul 'Harmonize' naye alitangaza kuwa ataachia Album yake ya Visit Bongo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live