Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kim Kardashian na Kanye West wafikiria mtoto wanne kwa njia ile ile

1906 Saint Kanye 1 2 TZW

Thu, 25 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Kim Kardashian na mumewe Kanye West wanampango kuongeza mtoto wa nne kwa njia kama waliyoifanya kumpata mtoto wao wa tatu.



Kwa mujibu wa chanzo cha karibu cha familia hiyo, kimeuambia mtandao wa People kuwa Kim ameonekana kuufurahia sana mpango wa uzazi huo wa kumlipa mwanamke ili awabebee ujauzito na hata hivyo amekuwa akipenda kuwa na watoto wengi zaidi.

“Even before Chicago was born, Kim was talking about asking the surrogate to carry her next baby. She’s so happy with the whole process and thrilled with the surrogate. Kim definitely wants more kids. She is so happy being a family of five. She wants the family to get even bigger,” kimesema chanzo hiko.

Kwa sasa Kim na Kanye wanawatoto watatu akiwemo North mwenye miaka minne na kaka yake Saint West mwenye miaka miwili pamoja na Chicago liyezaliwa wiki iliyopita.

Chanzo: bongo5.com