Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kim Kardashian athibitisha kuwa mama wa watoto watatu

1434 Kim TZW

Thu, 18 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Kupitia tovuti yao ya kimkardashianwest.com, Kim Kardashian na Kanye West watangaze  rasmi  kupata  mtoto wao watatu katika familia yao ambaye ni wakike.



Katika tovuti hiyo wameandika;

Kanye and I are happy to announce the arrival of our healthy, beautiful baby girl. We are incredibly grateful to our surrogate who made our dreams come true with the greatest gift one could give and to our wonderful doctors and nurses for their special care. North and Saint are especially thrilled to welcome their baby sister.

Love,

Kim Kardashian West

Lakini pia mrembo huyo kutoka familia ya Kardashian akaongezea kutoa taarifa kupita mtandao wa kijamii wa Twitter.



Huyo atakuwa ni mtoto wa tatu katika familia ya Kim na mumewe Kanye West, lakini atakuwa ni mtoto wa pili wa kike baada ya dada yake North mwenye miaka minne.

 
Chanzo: bongo5.com