Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kim Kardashian apokea vitisho vya bomu na kifo

Kim Kardashian .jpeg Kim Kardashian

Sun, 22 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kim Kardashian ameripotiwa kupokea vitisho vya bomu na kifo. Kwa mujibu wa #Tmz #Kim anadai kuwa maisha yake pamoja na watoto wake yapo hatarini, Hii ni baada ya kupokea barua kadhaa zinazotishia kuondoa uhai wake, ambapo Mwandishi wa barua hizo ametishia kulipua ofisi ya #Kim na bomu.

Kim Kardashian ameripotiwa kupokea vitisho vya bomu na kifo. Kwa mujibu wa #Tmz #Kim anadai kuwa maisha yake pamoja na watoto wake yapo hatarini, Hii ni baada ya kupokea barua kadhaa zinazotishia kuondoa uhai wake, ambapo Mwandishi wa barua hizo ametishia kulipua ofisi ya #Kim na bomu. Mwanasheria wa #Kim "Shawn Holley", amefanya utaratibu wa kupata zuio la mahakama juu ya David Resindez, mtu ambae #Kim anadai hamjui na hawajawai kukutana lakin amepata anuani zake za nyumban na biashara, na amekuwa Akituma barua Zaidi ya 80 za kumtishia yeye pamoja na watoto wake wa nne katika njia tofauti tofauti.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live