Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kim Kardashian Hataki Kurudiana na Kanye West

Kanye Na Kim Nabana Babo Kim Kardashian Hataki Kurudiana na Kanye West

Thu, 17 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

MWANAMITINDO na mfanyabiashara maarufu duniani, Kim Kardashian ameiomba Mahakama kuharakisha mchakato wa talaka.

Kwa mujibu wa RadarOnline, Mwanasheria wa Kim Kardashian alikuwa mahakamani wiki hii akifuatilia jambo hilo.

Nyaraka zilizo mbele ya mahakama zinaeleza wazi kwamba Kim hataki kupatanishwa na YE au ushauri wowote kuhusu kurudiana.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live