Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Kim Jong Un amwaga machozi kiwango cha uzazi kushuka

Kim Jong Un Kilioo Kim Jong Un amwaga machozi kiwango cha uzazi kushuka

Wed, 6 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tathmini zinaonyesha kiwango cha uzazi nchini Korea Kaskazini kimekuwa kikishuka kwa muongo mmoja huku kukiwa na ongezeko la wasiwasi ndani ya familia kuhusu "fedha nyingi" zinazohitajika kulea watoto.

Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un alionekana kufuta machozi alipokuwa akiwataka wanawake kusitisha kushuka kwa kiwango cha kuzaliwa nchini humo.

Bw Kim alionekana akipapasa macho yake kwa leso katika wakati adimu wa hisia alipokuwa akihutubia Mkutano wa Kitaifa wa Akina Mama mjini Pyongyang.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live