Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kill Paul: Wazee Walisema Nimepoteza Akili

Killpaul Kill Paul na Neema Paul

Wed, 22 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kijana wa kimasai kutoka Tanzania Kili Paul amejizoelea umaarufu katika mtandao wa TikTok baada ya kutumia mtindo wa kufuatisha mashairi ya nyimbo mbalimbali hususani zile za kihindi akiwa na mdogo wake Neema Paul,

Kili na Neema Paul wamejizolea umaarufu mkubwa nchini India huku baadhi ya wasanii wakubwa wa Bollywood wakionesha kutambua kile anachokifanya.

Kili Paul anasema alipoanza kuchukua video hizi wazee wake hawakumuelewa na walifikia hatua hata ya kusema kuwa amepoteza akili au amerogwa kwani anavyofanya ni vitu vigeni katika jamii yake ya Kimasai.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live