Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kila niliyemzalia kanipa gari-Mobeto

Mobetto.jpeg Kila niliyemzalia kanipa gari-Mobeto

Wed, 24 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwamitindo Hamisa Mobeto amesema, anamshukuru Mungu kwani kila mwanaume aliyewahi kuingia naye kwenye mahusiano alimzawadia gari.

Anasema magari hayo aliyauza kwa nyakati tofauti na kununua magari mengine na moja aliliuza bila kununua gari.

“Niliuza Rav 4 nikanunua Vanguard, nikauza Vanguard nikanunua Prado na lile linguine nililiuza tu,” alisema Mobeto alipokuwa anafanya mahojiano hivi karibuni.

Mobeto alisema, kwa sasa anayo magari mawili ya kifahari ambayo ni Range alipopewa zawadi na mpenzi wake mpya hivi karibuni pamoja Prado.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live