Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Kila kwenye watu wanne kuna Mwafrika mmoja

Africa Europe.jpeg Kila kwenye watu wanne kuna Mwafrika mmoja

Mon, 30 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mpaka kufikia mwaka 2050 inatajwa kuwa kwenye kila watu wanne basi mmoja atakuwa ni mtu kutokea Afrika "Mwafrika".

Viwango vya kuzaliwa katika mataifa yaliyoendelea inatajwa kuzidi kupungua, huku ukuaji wa watoto katika bara la afrika inazidi kuongezeka kwa kasi zaidi.

Umri wa wastani katika bara la Afrika ni miaka 19 huku nchini India nchini inayoongoza kwa kuwa nawatu wengi zaidi Duniani ni miaka 28, Lakini nchini China na Marekani ni miaka 38.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live