Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kikwete, Diamond washiriki mazishi ya mke wa Hando

Kikwete, Diamond Washiriki Mazishi Ya Mke Wa Hando Kikwete, Diamond washiriki mazishi ya mke wa Hando

Mon, 15 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete na Mkurugenzi wa Wasafi Media, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' wameshiriki katika mazishi ya aliyekuwa mke wa mtangazaji wa Kituo cha Wasafi Media, Gerald Hando.

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete na Mkurugenzi wa Wasafi Media, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' wameshiriki katika mazishi ya aliyekuwa mke wa mtangazaji wa Kituo cha Wasafi Media, Gerald Hando. Mazishi hayo yamefanyika katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live