Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Kijiji kizima wameuza figo

Hokse Panchkhal Kijiji kizima wameuza figo

Tue, 28 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kutana na kijiji cha Hokse Panchkhal nchini Nepal, Kijiji ambacho karibu wananchi wote kijijini hapo wameuza figo zao kutokana na ugumu wa maisha.

Wakazi hao huambiwa wakitolewa figo zao zitaota nyingine hivyo wamekuwa wakiishi wakiamini hivyo, nchini humo kuna walanguzi wengi wa viungo vya binadamu ambao hununua figo na kulipa pesa "Cash".

Je, ikitokea mtu anataka kununua figo kutoka kwako utakubali? Na utaiuza kwa bei gani?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live