Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Kijana wa kitanzania aliyetajirika kupitia ufugaji wa mbwa

Nond 660x400 Kijana wa kitanzania aliyetajirika kupitia ufugaji wa mbwa

Fri, 8 Jan 2021 Chanzo: millardayo.com

Oscar Nondo ni kijana wa kitanzania aliyeanza ufugaji wa mbwa miaka sita iliyopita ambapo awali alianza kufuga mbwa wa kawaida lakini aliposafiri kwenda nje ya nchi aliweza kununua mbwa wengine ambao alianza kufuga na mpa hivi sasa ana mbwa 40 ambapo thamani ya mbwa wote ni zaidi ya million mia.

Kwenye exclusive interview na Ayo tv na millardayo.com Nondo amesema ufugaji wa  mbwa umempa faida ikiwemo nyumba ya kisasa anayoishi magari na pamoja na mahitaji mengine.

“upambanaji nimeanza mwaka 1995 nilipomaliza darasa la saba,nilikuwa nafanya biashara ya simu nikaacha baada yakuona imeingiliwa na watu wengi nikajikita kwenye ufugaji”-Nondo

ALIYEDAIWA KUMBAKA NAKUMUUA KATIBU WA CCM AJISALIMISHA NYUMBANI KWA DC

Chanzo: millardayo.com