Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Kijana wa Kitanzania aunda mfumo wa gari wa kutumia gesi (+video)

Video Archive
Thu, 21 Jan 2021 Chanzo: millardayo.com

Baraka Majengo ni kijana wa Kitanzania aliyetengeneza mfumo wa kutumia gesi kwenye gari badala ya kutumia mafuta.

Baraka anasema kuna kifaa amekiweka kwenye gari ambacho unaweza kutumia Petrol au ukatumia gesi.

“Sasa hivi linatumia gesi hii inatumia system zote mbili na kuna switch nimeweka ambapo unaweza kutumia Petrol na inatumia gharama ndogo”-Baraka

Chanzo: millardayo.com