Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kijana anayezunguka Tanzania kwa miguu afika Arusha"nishatembea kilometa 900"

Jamaa3 660x400 Kijana anayezunguka Tanzania kwa miguu afika Arusha"nishatembea kilometa 900"

Thu, 10 Sep 2020 Chanzo: millardayo.com

Richard Silingi ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 30 ambaye ameamua kuzunguka Tanzania nzima kwa miguu kwa lengo lakuhamasisha watu kututumia mitandao kuhamasisha uwekezaji na utalii ambapo anatarajia kuikamisha safari hiyo ndani ya miezi sita“nimeshatembea kilometa zaidi ya mia tisa kwa miguu kutoka Dar hadi Arusha kwa sababu kila ninapofika nazunguka na watu wananipa kero zao na nitakapomaliza kuzunguka natamani kukutana na Rais Magufuli”-Richard

Richard Silingi ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 30 ambaye ameamua kuzunguka Tanzania nzima kwa miguu kwa lengo lakuhamasisha watu kututumia mitandao kuhamasisha uwekezaji na utalii ambapo anatarajia kuikamisha safari hiyo ndani ya miezi sita“nimeshatembea kilometa zaidi ya mia tisa kwa miguu kutoka Dar hadi Arusha kwa sababu kila ninapofika nazunguka na watu wananipa kero zao na nitakapomaliza kuzunguka natamani kukutana na Rais Magufuli”-Richard LEMA “GAMBO HANIWEZI, CCM WAMENIKOSEA KUNISHINDANISHA NAE, NITASHINDA UBUNGE KWA GHARAMA YA HAKI”

Chanzo: millardayo.com