Menu ›
Burudani
Wed, 14 Jun 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Baba mzazi wa marehemu Tupac Shakur, Billy Garland anaamini kwamba kuuawa kwa mwanaye ni mpango wa Serikali.
Kwenye mahojiano na The Art of Dialogue, Billy haamini kama mshukiwa namba moja. Orlando Anderson anahusika kwa namna yoyote.
“Nafikiri swali la msingi hapo ni Serikali. Serikali ilimpa mchongo [Keffe D], Tupac aliuawa kwa njama za Serikali ya Marekani kwenye usiku wa mauaji yake. Huo ni ukweli unaofahamika.” alieleza Baba mzazi wa Tupac akimtaja Keffe D ambaye amewahi kukiri mbele ya Serikali kwamba ndiye alimpatia Anderson silaha iliyomuua Tupac Shakur.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live