Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kibibi: Nitakuwa Rais wa Tanzania

Getrude Mwita Maarufu Kibibi.png Getrude Mwita maarufu Kibibi

Wed, 3 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa filamu nchini Getrude Mwita maarufu Kibibi amesema ipo siku anaweza akawa Rais wa Tanzania na kuitumikia Serikali kwenye upande wa uongozi.

Msanii wa filamu nchini Getrude Mwita maarufu Kibibi amesema ipo siku anaweza akawa Rais wa Tanzania na kuitumikia Serikali kwenye upande wa uongozi. "Kuitumikia Tanzania kwa namna ya kuwa kiongozi hicho kitu ninacho na nafikiria baadaye inaweza ikatokea nikaitumikia upande wa Serikali, nani anajua naweza nikaja kuwa hata Rais," amesema Kibibi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live