Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kiba hana tabia za kinafiki - Chid Benz

Chid Benzinooooo Kiba hana tabia za kinafiki - Chid Benz

Tue, 14 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki, Chidi Benz amesema miongini mwa wasanii ambao hawana tabia za kinafiki Ali Kiba ni mmoja wao.

Akizungumza kupitia Manara TV, Chidi Benz amesema Ali Kiba amekuwa akimuweka vikio mara kwa mara pindi anaposikia Habari mbaya kuhusu yeye.

"Alikiba amekuwa akinichana ukweli pindi ninapokosea au ninapomkosea siyo kama wasanii wengine wanaongea chinichini jamaa amenyooka sana," alisema Chid Benz.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live