Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kiba akutwa na corona, asitisha tour ya Marekani

Kiba Wazi Kiba akutwa na corona, asitisha tour ya Marekani

Fri, 2 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mfalme wa Bongo Fleva, Alikiba ametangaza kusitisha ziara yake ya kimuziki nchini Marekani baada ya kukutwa na maambukizi ya virusi vya corona.

Kiba amesitisha tour yake hiyo iliyokuwa ianze leo Septemba 2, 2022 katika kumbi mbalimbali nchini humo ikiwa ni miaka minne imepita bila msanii huyo kufanya shoo kubwa nchini Marekani.

Kingi amedai kuwa, hakuna cha muhimu kwake kuliko afya ya Bendi, Timu yake na Mashabiki zake; “Ninaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza, Mungu akijalia tutaonana karibuni,” amesema Kiba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live